DERICK2000
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 203
- 35
Acha wivu, wanalinda nyumba hao!
Bado watoto wakikua wataacha cause watakua na kwao..
Acha wivu, wanalinda nyumba hao!
Bado watoto wakikua wataacha cause watakua na kwao..
Mmmmmmh!!! Ujana au jinsia yako inakufanya ushabikie mambo kama haya lakini kiukweli siyo vizuri hata kidogo kwa watoto wa kike kuwaleta maboyfriend zao nyumbani kwao na kujikuta wakifanya upuuzi.
umeleta humu badala ya kuwaambia wahusika
Inawezekana wapo wa tabia hiyo humu,waache.Respect your parent's house.
Ni aibu na ujinga,Msichana anatembelewa na boyfnd wake,nyumbani kwa wazazi wake.Then wanafanya mapenzi nyumbani kwa msichana(yaan nyumba ya wazazi wa msichana).Kwa nini asikupeleke kwao,kama anaweza????..It's so ashamed.Na wasichana kataeni kuwaita ita boyfnd zenu,pindi wazaz wenu wakisafiri..Mnajiaibisha sana na kujishusha thamani yenu.. Hata kama ndio pesa hana,mwambie muende kwao,kama atakubali..Mbona yeye anaheshimu nyumba ya wazazi wake?..Nimeipata hii kwa jiran yangu hapa,ye wazazi wake wakisafiri tu,boy wake anahamia hapo..Ni aibu kwa kweli..
Hao wamekubuhu duh!na hizo bachelor zao,nawasi wasi nazo!.
Kwani tatizo ni nini hapo wa kiume akienda na demu kwao nia sawa ila wa kike akipigiwa nyumbani
ni shida "gender equlity itatokea wapi kama hivi ndivyo tunatakiwa kujaji mambo?"
dah kiukweli cio ustaarabu hata kidogo.hivi mwanaume wa hivyo atakuheshimu kweli?anaweza akawaza pia cku akikuoa yeye akasafiri je hautamwingiza mwanaume mwengine ikiwa kwa wazazi wako hupaheshimu?ifike wakati mabinti ze2 wenye tabia hiyo waache ili wa2jengee heshima wazazi wao.
Hao wamekubuhu duh!na hizo bachelor zao,nawasi wasi nazo!.