Acheni tabia hii..

Inawezekana wapo wa tabia hiyo humu,waache.Respect your parent's house.

Vipi DERICK2000 hivi unamkumbuka yule beibe wako anaekupa raha sana na unaemuona kama mama mzazi jinsi anavyokupa direction za maisha, mfano na yeye akikuambia uende kwao na akikuambia ufanye kama huyo demu si utafanya tu!

Naona umekua sasa!
Kongosho .... huyu sijui kama tayari kakua maana nna wasiwasi yule beibe wake akimwamrisha na yeye anaweza kufanya kama huyu anaemlaumu hapa
.
 
Last edited by a moderator:
Nahisi kamaliza shule ameanza kazi
anaweza enda gest hausi

Ndo nyie u do that,into ur parent house maana imekutouch cna,by the way,am staying alone and ma beautiful baby,my cute fiancee anaishi alone pia.Mungu akipenda mwakani.we will be together.
 

we ndo hujakua.and if u have that habit,achaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake nyege zikisha wajaa we unapewa popte tu...Iwe kwenye nyumba ya wazazi wake, mme wake au ndugu zake.


Kuna jamaa yangu namjua alikuwa ana mla msichana usiku usiku pale wazazi wake wamekaa uwani wameisha kula chakula cha usiku...Yule msichana anajidai kuosha vyombo, si unajua uwa wa mabati, kumbe walisha toboa size flani ili mkuyati uwe unapita bila shida...Yule mwanamke anajidai anaosha vyombo huku kainama basi jamaa anampitisha mkuyati anaupachika mwenyewe huku anapiga story na wazazi wake wala hawajamshtukia...hawawezekani kabisa kama wanautaka mkuyati.

Kuna wengine wako kwenye ma bus haswa yale yanao safiri usiku usiku, wanagawa pipi na abiria wengine wala hawajui what's going on in the bus.
 

Wanawake ni maboga sometimes. Huyo huyo boyfriend anakumwaga kwa sababu huna adabu!!
 
hapo tatizo kwa kweli ni ujinga tu wa watoto, wanapaswa waelekezwe, wapewe ushauri wa faida na hasara za hayo mambo n.k. kwa kweli mie naweza kusema ni utoto tu wakikua wataacha
 

Huko ni kukosa maadili pamoja na kuto jiamin hv kweli kama unasoma penzi la nn? wanajiendekeza 2.
 
Dah!kumbe nina akili,kuna siku nilimtembelea kicheche wangu kwao,kufka c akataka mchezo,ila me nkamgomea,nkamwambia cwezi fanya vile kwenye nyumba ya dingi ake..
 
Kwa hiyo mwana umeona nafaiiiiiidi kwa jirani yako ndo umeamua kuja kunifanya mada humu ndani.... Ngoja nkija mitaa ya kwenu hapo nakubobojoa miguu hiyo@derick2000
 
Kwa hiyo mwana umeona nafaiiiiiidi kwa jirani yako ndo umeamua kuja kunifanya mada humu ndani.... Ngoja nkija mitaa ya kwenu hapo nakubobojoa miguu hiyo@derick2000

UNAFAIDI NINI KIPYA NSICHOKIJUA.POLE KAMA IMEKUGUSA..NJOO TU UNIVUNJE MIGUU..KWANZA IMENICHOSHA.

BY THE WAY..READ THE ABOVE COMMENT ZA WATU,ILI KUJUA KAMA UFANYACHO NI KIZURI.ENDELEENI.:mod::mod::mod::mod::mod::mod::mod:
KAMA NDO WEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…