KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Mkuu hapo ATM nyuma yangu walikuwepo raia wawili wa kigeni.Kwa hiyo hao waliopanda baada ya wewe kushuka wakajua ni wewe umeharibu hali ya hewa...na mbaya ukute miongoni mwa hao kuna anae kujua hapo...
Kumbe mpo humu.acha ushamba kupumbua kwa kujamba ni afya na muhimu sana ...sema muhimu ni watu kuwa na staa tu ya kuangali sehemu na sehemu...ila maeneo uliyotaj ni sahihi tu..
Wajambe maeneo husikaUna maanisha waache kujamba......!???
Wapi ni eneo husika la kujamba?Wajambe maeneo husika
Ya waziWapi ni eneo husika la kujamba?
Kujamba ruksa popote tu, hata hapa JF unaweza kujamba tuYa wazi
Du no commentKujamba ruksa popote tu, hata hapa JF unaweza kujamba tu