Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"

Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.

"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"

"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"

Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.


Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?

CC

Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao
 
"Jua ulianza ufizi ndio meno yakajaaaaaaa, namuamini mwenyezi ndio nguzo ya hajaaaaaaa"
 
yaan mi taarabu zinaninogea za jahazi tu nyingine nasikia makelele tu!! kuna hii ya khadija yusuph inaitwa mambo bado inanikosha balaa
 
yaan mi taarabu zinaninogea za jahazi tu nyingine nasikia makelele tu!! kuna hii ya khadija yusuph inaitwa mambo bado inanikosha balaa

Mie dahhh nikisoma mashairi yao basi hooooiiiiii

"Mandhali Mungu anaonaaa aaaahhh nyoyo zenu zina fundoooooooo, ..............ada ya mja kunena muungwana ni vitendoooooo".
 
Haaaaaaaaa hapa penyewe!!!!!!!

kama nna hamu sana nnae wangu mpenziii iiii iiii

wenyewe tunapendana anashona nadarizii iii iiii

mmenikuta, muungwana, namuamini mwenyezii iii

hivi hivi, mtaniona, kunishusha hamuwezi iiii
 
Haaaaaaaaa hapa penyewe!!!!!!!

kama nna hamu sana nnae wangu mpenziii iiii iiii

wenyewe tunapendana anashona nadarizii iii iiii

mmenikuta, muungwana, namuamini mwenyezii iii

hivi hivi, mtaniona, kunishusha hamuwezi iiii


"Mtajibebaaaaaa, sihofu porojo zenu mtajibebaaaa, sihofu vishindo vyenu mtajibebaaaaaaaa, mmenipandisha mizukaaaaaa taire taireeeeeee.....................Wachezeya sumaku weye utanasa tuuuuu"

Wasomi msipite pande hizi uswahili tuachieni sie
 
Hv yale mauno ya wanataarabu hadi ktandani yanakuwa mwake au? Aliyetest anijuze
 
mziki wa wambea na kuchambana

hebu sogea huko..........

mwaya Mrembo by Nature mi napenda ule......'kupendwa ndio huku....kupendwa kuheshimiwa aaah....sio wewe zumbukuku....kutwa kuranda na njia aaah.......
mtamu sana ule wimbo.........
 
Last edited by a moderator:
Majanga haieleweki hata stile ya kucheza ni issue khu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…