Elections 2010 Acheni umbea nani kasema kuwa tuanabebwa kwenye malori - Makamba (picha)

Elections 2010 Acheni umbea nani kasema kuwa tuanabebwa kwenye malori - Makamba (picha)

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
248
CCm2010.jpg

ccm2010_2-1.jpg
 
Jamani sisi CCM huwa hatuna mchezo huo wa kubeba watu kwa malori. Wapinzani mnashindwa kutuelewa tu
 
Sisi ccm tunawapeleka watu kwenye mikutano kwa matipa, hatuwabebi kwa malori, kwanza hao wanaopanda hayo malori ni viherehere vyao.
 
Sisi ccm tunawapeleka watu kwenye mikutano kwa matipa, hatuwabebi kwa malori, kwanza hao wanaopanda hayo malori ni viherehere vyao.

Teh teh teh. usiseme ukweli..............................................wa jk
 
Yaani imebidi nicheke. Ila Makamba angepata post hii na picha zake live ingefaa. Ila basi muda umeisha natamani hata title hiyo na picha tuzikuuze na kuonesha wakati wa kampeni zao.
 
Teh teh teh. usiseme ukweli..............................................wa jk

hashindwi kusema hata yule alokufa maswa ni kiherere chake, OOR, SORY, MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA, MAANA NA SISI WENGINE HATUJUI TUTAELEKEA LINI HUKO, NI SIKU ZAKE TU ZIMEFIKA, HUENDA WENGINE TUKAFUATA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI, KIRAVU UMEBEBA ROHO ZETU KWENYE HII MELI, TUVUSHE SALAMA UEPUKE LAWAMA, UWAACHIE WENGINE KWENYE VYOMBO VYA NCHI KAVU KINA SLAA WAENDELEE KUTUPELEKA TUTULIKOAHIDIWA. AAAAAAAAAMIN
 
Hehehe.. Kumbe mna ushahidi.. Basi iwe siri yenu jamani eeh si unajua tuna dalili za kushindwa mwaka huu!! teh teh
 
hahaha ahaha ahah ah!!!!!! CCM kweli imechakachuliwa!!! Everything at a price!
 
Hizi picha zilitakiwa zifanyiwe mabango ziwekwe pamoja na za Kiwete!!!
 
Kwanza unalamba book tano halafu ndani ya tipa ya matofali...kazi kweli kweli. Au bwana Kibunango hawa wanaoleta picha hizi wana wivu wa kike?
 
Mimi hapa ndo huwa simwelewi kabisa huyu mtanga. Au ndo maana akaitwa makamba nn. Anabisha na ushahidi wa picha tena za rangi upo wazi? Ah omba sana Mungu wako na nguvu za Yahya ccm isianguke maana sijui utajificha wapi.
 
Piiiii.... ingia kwenye intanet cafeeeeeeeeee
nenda katusakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...
tupo na shida zetu jina letu ndo manakeeee..
HIVI HAO WATU WANAGEUZWA KOKOTO NA MCHANGA WANALIPWA MAMILIONI???
WANAOGOMBEA WANAPANDA MAGARI YA FAHARI TENA NA KIYOYOZI NDANI..
 
tena nimemwona MS, mtu wa pwani, jk wa ukweli plae kwenye lile lori...........duh! yani kama kokoto za msata!
 
Duh!jamaa kumbe hamna kitu,mbaka wabebwe kwenye maloli!
 
usalama sifuri hapo,yani kama ng'ombe wanapelekwa machinjioni vile duh
 
Back
Top Bottom