Elections 2010 Acheni umbea nani kasema kuwa tuanabebwa kwenye malori - Makamba (picha)

Makamba anadhani kila kitu ni kukanusha tu...awe anatafakari kabla ya kuongea..
 
Ila ni strategy nzuri nahofia watawabeba hata tarehe 31 October wakawapigie kura maeneo tofauti tofauti, changanya na zako:bowl:
 
Tena haya malori vihio yanakua rejected Japan ndio wanatumia kubebea/kurubuni wananchi. Ndio maana zingine zimesababisha vifo Zanzibar!!!!
 
Hii inatakiwa itolewe ukurasa kwa kwanza wa gazeti mojawapo kesho ili watu wajue Makamba alivyo mwongo na CCM yake.
 

Hawezi kusema ni kihelehele chake, kwa sababu ni chama chake. Kwa kweli ingekuwa ni chama kile kingine ambacho mbunge wake bado ameshikiriwa kwa mahojiano ndo angesema tena kwa herufi kubwa kwamba ni kihelehele chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…