ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
View attachment 250322
Mweee we kula ice cream tu na vumbi la bongo, ungejua nifanyacho na niliko usingethubutu kuandika huu uharo
Mwaka 2008 nilienda UK nilikaa wiki mbili, kati ya mambo niliyoyategemea kule ni kukuta magari ya maana njiani mfano VX, Range rover, GX n.k. Chakushangaza London imejaa gari ndogo ambazo huku mnaziita Baby walker hata ukienda nje ya London kama East Greanstead na Brighton hali ni ile ile
Huku hatuna Vitz bwana
Hukujiuliza ni kwanini?? London ni mjini na watu wanaoendesha hayo magari 4x4 wengi wanatoka outskirts of London..lakini mtu anaeishi hapo hapo greater London gari kubwa la nini??barabara nzuri , public transport bwelele sasa expenses za mafuta za nini??
wabongo wengi wanaishi maisha fake sio ya uhalisia ndo maana wanashadadia vitu visivyo na tija...wanaiga tu kwa kuangalia kwa Tv ..Wakiona wachezaji wa mpira wanaendesha ma Range rover basi wanafikiri ndo maisha ya wote ni hivyo...hao wachezaji wenyewe wanaishi kwenye outskirts of London na ndio maana wanaendesha hayo ma range. na ulaya magari ya 4x4 mengi ni yanaendeshwa na wanawake, wanaume ukiwa na pesa yako unakamata sports car au salon car thats it.
Mkuu kama unataka kuona magari nenda LA, Vegas strip au Miami south beach
Kweli haloo Buyuni Kwetu. Asante kwa kunikumbusha!
Jamaa kanikumbusha east Sussex, brighton, niliona vitz kwa mara ya kwanza yani wanaita yaris. Nilivyorudi bongo nami nikanunua
Umenikumbusha mbali! Brighton & Hove! Mi nilikuwa Eastbourne hapo.
Gari za kike ni zile zinazogaiwa bure tu kama zipo
kama gari inanunuliwa kwa pesa na pesa haina jinsia basi gari za kike hakuna..
Unaweza kukuta mtu ana Vits ya milioni 24 na mwingine ana Benz ya milioni 10
sasa 'uanaume' ni upi hapo?
daaah inaonekana huko KWENU ni pazuri sana mkuu
Vits, passo, spasho, Nadia, murano, plats, ni Magari yanayoendeshwa sana na wanawake, hayajaandikwa popote for ladies, ukiona mwanaume anaendesha basi ujue kuna sababu zifuatazo:
1. Hana uwezo zaidi ya hapo, Akipata tu pesa zaidi atauza anunue chuma cha kiume
2. Labda home ana gari ya 'kiume' ila wese limekata sasa amechukua la mkewe
3. Ni la Dada yake ( namfahamu jamaa mmoja alikua anaendesha spasho ya Dada yake aliyehongwa)
Unamzungumzia Ramadhan wa Mbagala? Nilimpga marufuku maana Gar nimemnulilia dada yake yule Rahma thn yeye Anajibinafsisha
Watu hawajui maisha ila ukitembea unajifunza mambo mengi sana, ni nadra sana kukuta Hammer au hayo ma VX au V8 katikati ya jiji la London