Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Zamani automatic ndy tulikuwa tunaziita za kike

Ova
 
Hii mada imekuaje ikafa. Watu waliacha kununua gari za kike au wameelimika kwamba hakuna la kike gari ni gari? Hahaha
Wanaziheshimu hizo gari sasa hivi
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…