Acheni utani.....inauma jamani!

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
354
Mumeo anatoka safarini unapotoa nguo kwa sanduku unakutana na chupi iliyochokachoka ambayo si yako. Ukiwa mwanandoa utafanyaje?
 
Ujue ame deal na mwanamke aliyechokachoka kama chupi yenyewe,,,then unaweza kuwa mpole kama vp.
 
cpendi m2 ambay hajibu unaweka thread halaf unakimbia nini sasa!
 
mwenzio nilikuta li skin tait chafuuuuuuuuuuuuu kha mpaka nikikumbuka nakula nasikia kutapika kila siku mhhhh wanaume hawa jamani WAMELAANIWA
 
Mumeo anatoka safarini unapotoa nguo kwa sanduku unakutana na chupi iliyochokachoka ambayo si yako. Ukiwa mwanandoa utafanyaje?

chupi ya kike au ya kiume? Chupi ya mwizi huwa inakutwa kitandani siyo kabatini.
 
akili za wanawake bana....

sasa umekuta chupi ina maana huyo hawara alirudi kwao bila chupi?
we huoni hiko ni kisa cha makusudi umefanyiwa ili ugombane na mumeo??????/

hapo kuna mwanamke kaweka chupi ,tena ambayo sio yake ili akurushe roho.....

wanawake wa kiswahili aache chupi yake ovyo ovyo ni ngumu kwa sababu za imani za kishirikina zinzotawala mambo hayo....

hiyo ni tricky.....
 

Mkuu nimecheka sana!
 
simple, unamnunulia nyingine.. nimepata?
 


Kama kweli umeikuta hio.... jua mumeo anataka usepe ila hana guts za kukuambia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…