Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Nasikia kuna watu wanapita huko na huko kwenye ofisi za umma kuuliza taarifa za wafanyakazi mahali walipojiandikisha, namba zao za kadi n.k na wengine wanakwenda mbali kwa kuwachimba mkwara kuwa wasipochagua kijani itakula kwao.
Sasa mmejenga fly overs, mmenunua midege, mmekuza uchumi, mmeongeza mishahara kwa wafanyakazi wa umma, mmetoa nyongeza ya kila mwaka kama Sheria inavyotaka, mmelipa nauli za likizo n.k HOFU hii ni ya nini?
Acheni kuweweseka, kura zitazungumza