Uchaguzi 2020 Acheni vitisho kwa Watumishi wa Umma, kama mmefanya vyema mtapata kura tu

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Nasikia kuna watu wanapita huko na huko kwenye ofisi za umma kuuliza taarifa za wafanyakazi mahali walipojiandikisha, namba zao za kadi n.k na wengine wanakwenda mbali kwa kuwachimba mkwara kuwa wasipochagua kijani itakula kwao.

Sasa mmejenga fly overs, mmenunua midege, mmekuza uchumi, mmeongeza mishahara kwa wafanyakazi wa umma, mmetoa nyongeza ya kila mwaka kama Sheria inavyotaka, mmelipa nauli za likizo n.k HOFU hii ni ya nini?

Acheni kuweweseka, kura zitazungumza
 
Kwenye nyongeza ya mishahara ongeza sauti......

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
sijui kwa nini hamuelewi- CCM haitoi huduma kwa shinikizo la kupigiwa kura bali kwa kuzingatia maslahi mapana ya watanzania wote. Napenda nikukumbushe
1. Wakati wa mkapa wanafunzi walijaribu kulazimisha kuongezewa posho mkapa akawajibu posho siongezi na kura zenu sizihitaji na ikawa hivyo
2. wakati wa Kikwete wafanyakazi wakaleta hayo- Kikwete akawajibu wazi wazi kabisa kuwa hatatimiza madai yao na kura zao hazihitaji na ikawa hivyo
SIONI JIPYA
 
Na huku Shinyanga wamepita ofisi zote za umma. Baada ya kujaza hizo fomu wamezipeleka Usalama wa Tufa!
 
Hakuna walichofanya zaidi ya kusifiana
 
Safari sio watumishi tu,wakulima na wafanya biashara nao hali tete.
Wamebaki na kuishinda corona.
Eti hatuvai barakoa,hatuja loki daun,tunafyatua tu!!
 
Watumishi si wamepata ndege? Wasiwasi WA nini??
 
Hawamu hii watumishi hawana tofauti na punda.
 
Kwani usipoenda kabisa kupiga kura watakufanya nini?
 
Safari sio watumishi tu,wakulima na wafanya biashara nao hali tete.
Wamebaki na kuishinda corona.
Eti hatuvai barakoa,hatuja loki daun,tunafyatua tu!!
Watashinda tu manake pamoja na ubaya lkn pia uzuri, lkn binadamu hua hauoni uzuri anauona ubaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…