Acheni Wivu.

Baby Doll

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
4,716
Reaction score
21,530
Mara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji[emoji57][emoji57] . kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji[emoji50][emoji50][emoji50]. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?
Mara sijui like nyingi[emoji24][emoji24]ndiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?
Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft.[emoji24][emoji24][emoji24].
Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema[emoji119][emoji119][emoji119]
 
vipi ushawahiwa?
mimi natafuta mwenza aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…