Acheni Wivu.

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Pambana nao tu
Wasikupangie maana jf umeipenda mwenyewe na bundle lako
kuna watu wamegeuza humu boma la ukoo hawataki wageni sijui wanahisi watabebewa vibwana vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaah matukio hayo ni nadra ila yanakuwa mathuri thanaa muhim kulinda chakoo karibu
 
Kuna Wahenga humu., ukijichanganya unalo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]. Ulishawahi kusutwa hadi ukasahau I'd yako.?
Ohooooo!!
Hata Mimi huwa nachamba hadi navua nguo[emoji23][emoji23].
Hadi mdomo umekaa upande kisa kuchamba.
Sitawachokoza
 
Pole yAnin

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Kwa sababu una uchungu kama unakamuliwa jipu.[emoji57][emoji57]
Kakwambia nani nimetoka badoo?[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…