Baby dollKwa sababu una uchungu kama unakamuliwa jipu.[emoji57][emoji57]
Kakwambia nani nimetoka badoo?[emoji57][emoji57]
Mara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji[emoji57][emoji57] . kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji[emoji50][emoji50][emoji50]. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?
Mara sijui like nyingi[emoji24][emoji24]ndiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?
Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft.[emoji24][emoji24][emoji24].
Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema[emoji119][emoji119][emoji119]
Ahahhah nimecheka sana ebu msalimie sana hapo pembeniYule??
Haumjui vizuri dear.
Hata sisi tulianzia kwenye matani enzi hizo.
Ila kipenzi nakuamini. My twinie
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby achana na hawa vigagulaCannor
Usijali baby doll hiii ndo JF kila mtu fake...except mimi..Tatizo watu wananichukulia poa
Shemeji huonekani?nakusalimiaUna mkwaaara[emoji13]
Nalijua jirani yangu, uache kunipenda jirani ninavyokutriti vizuri hivi, utapata wapi jirani mwingine!Ha hahaha.
Neibaaaaa.
Abiria chunga mzigo wako.
Halafu QUIGLEY nakupenda eti.
Upendo wa AGAPE
Sent using Jamii Forums mobile app
Enjoy mwayaaa[emoji8]
Hata bwana wa maana hakuna ni vichupkunuka tu[emoji86] [emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakosea sanaTatizo watu wananichukulia poa
Mubasharaa,[emoji8][emoji8]Karibu sana Baby Doll. Je, wajua kwa nini umetupiwa hayo maswali na maoni? Sababu zaweza kuwa kama ifuatavyo:
Nimependa namna yako ya agile thinking.
- Umejiunga jana unaandika kama mwenyeji. Hii inatokana na tabia ya baadhi ya wanaJF wenyeji kufungua akaunti zaidi ya moja kwa sababu kama vile ID kujulikana au kupigwa ban,
- idadi ya comments na uenyeji. Hii yaweza kuendana na namba moja kwa maana you know all the corners, ingawaje maswali ni je ugeni unaisha baada ya muda gani ambapo uenyeji uanza? Na ugeni au uenyeji unapimwaje? Kwa idadi ya posts na likes au muda wa kujiunga?
- kwenye wingi wa likes, kumekuwa na uvumi kuwa, mfano, kwenye YouTube, kuwa watu wananunua views, sasa yawezekana huyo mwanaJF ali-link na hiyo ingawaje ni illiogical kwa JF. Swali kwako, kwani likes zikiwa nyingi zinakuwa zimeibwa kutoka kwa mwanaJF mwingine?
- kutokujua kukaribisha wageni, nafikiri sio wote; ila nadhani umetisha kidogo kwa sababu hapa huwa kuna mashindano ya kupendwa au urembo hivyo nahisi waweza kuingia kwenye top ten hata five. Hivyo ni vyema uka banana hapa hapa. Kuna warembo walikuwa top five siku hizi wapo top ten kuelekea top 20.
Naamini kwa ukaribisho wangu, unajisikia nyumbani.
Thats how u put a smile on a mans lips[emoji5] [emoji6]Baby doll & Connor
Zimefika, yupo anachungulia tuu huku.Ahahhah nimecheka sana ebu msalimie sana hapo pembeni
Hapo chacha...Nalijua jirani yangu, uache kunipenda jirani ninavyokutriti vizuri hivi, utapata wapi jirani mwingine!
Mubasharaa,[emoji8][emoji8]
Umemaliza kila kitu ndugu[emoji122][emoji122]
Hadi nimekupenda.[emoji16][emoji16]
Majibu ya maswali yangu yote umeyajibu kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu.
Wewe ni Great thinker.
Asante kwa ukaribisho mkuu.
I appreciate...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zimefika, yupo anachungulia tuu huku.
Nimembadilishia password zake za kuingia huku..
Ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app