Achezea Kichapo Kisa JAZA UJAZWE!

Achezea Kichapo Kisa JAZA UJAZWE!

varavara

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Posts
605
Reaction score
486
Kutoka Kibanda Cha TigoPesa: Jamaa Kafika Kuunganisha Kifurushi Cha Muda Wa Maongezi Wakala Akamkaribisha Baada Ya Kumuunganisha Akamwambia Nimeshakujaza Tayari Kwenye Tigo, Kilichofuatia Wakala Yuko Hospitali Amelazwa Jamaa Yuko Polisi........
 
Back
Top Bottom