Achoma nyumba kisa kuachwa

Achoma nyumba kisa kuachwa

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
katika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja ambae anasemekana kuwa ni askari police, huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
 
katika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
Mapenzi kitu kibaya sana ukishindwa kuyatafsiri uhalisia wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
Daah umenikumbusha mbali Bwanga nilikua napita sana pale
 
Back
Top Bottom