Punguza jazba baba usije ukaumiza keyboard bureUnakwama, unahukumu nn kama kajenga yeye, ww ndo kichaa unayeparamia vitu usivyo vijua
Fikiri kabla ya kuhukumu.
Mapenzi kitu kibaya sana ukishindwa kuyatafsiri uhalisia wakekatika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
Daah umenikumbusha mbali Bwanga nilikua napita sana palekatika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
Amechoma nyumba ya babamkwe wake, hii ni kesi.Unakwama, unahukumu nn kama kajenga yeye, ww ndo kichaa unayeparamia vitu usivyo vijua
Fikiri kabla ya kuhukumu.
π²π€ Kweli vichaa ni wengiUnakwama, unahukumu nn kama kajenga yeye, ww ndo kichaa unayeparamia vitu usivyo vijua
Fikiri kabla ya kuhukumu.
Ndo usitumie akili?Kuachwa kunauma[emoji3061][emoji3061]