Achraf Hakimi ashtakiwa kwa madai ya ubakaji wa binti wa miaka 24

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938

Mchezaji wa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi amefunguliwa mashtaka ya ubakaji.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 amemshutumu Hakimi, ambaye pia ana umri wa miaka 24, kwa kumbaka nyumbani kwake mjini Paris siku ya Jumamosi, Februari 25.

Wakili wa kimataifa wa Morocco, Fanny Colin, mwanzoni alisisitiza kuwa madai hayo ni "uongo".

Katika taarifa iliyotolewa mwanzoni mwa mwezi Machi, mwakilishi wa Hakimi pia alithibitisha kuwa mwanasoka huyo "anajitolea kwa mamlaka" kwa uchunguzi.

Waendesha mashtaka sasa wameithibitishia AFP kwamba amefunguliwa mashtaka.

Ripoti za awali nchini Ufaransa zilidai Hakimi alifahamishwa tu kuhusu uchunguzi huo takriban dakika 90 kabla ya hafla ya Jumatatu jioni ya ya tuzo za FIFA za The Best Best.

Beki huyo alitajwa kwenye orodha ya 'FiFPro Men's World11' kwa mafanikio yake uwanjani.

Kama ilivyo kwa Le Parisien, mshukiwa huyo aliripoti tukio hilo katika kituo cha polisi Jumapili jioni lakini hakutaka kushtaki dhidi ya mwanasoka huyo.

Hata hivyo ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma huko Nanterre, kitongoji cha Paris, ilithibitisha kuwa uchunguzi ulianza.

PSG ilitoa taarifa kabla ya mashtaka kufunguliwa. Ilisomeka: "Klabu inamuunga mkono mchezaji huyo, ambaye amekanusha vikali shutuma hizo na ana amini mfumo wa haki. Paris St-Germain ni taasisi inayokuza heshima ndani na nje ya uwanja."

Chanzo: BBC

Pia soma
- Achraf Hakimi: Mmoja kati ya 'full backs' bora kabisa ulimwenguni wanaochipukia
 
Akajibu mashtaka kama ilivyo kwa Mendy na Greenwood. Kuna wakati Benzema, Ribbery na Hatem Ben Arfa walipiga mtungo kibinti kimoja kesi ikatokea hapo ila iilaisha kiaina.

Waarabu wa Afrika Kaskazini wanasema Waafrika ni chanzo cha uhalifu nchini kwao wakati wenyewe ni chanzo cha uhalifu kwa Ufaransa na Ulaya kwa ujumla.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Madem wa kizungu wamewafilisi sana waafrika na hizi case za kutunga...

Ila dem anakuja kwako mnakunywavalaf mnalewa unapiga kesho anasema ulimbaka.. wazungu wakuda sana
Hao mademu ni wahuni wanataka hela rahisi za wachezaji. Hawana tofauti na wa kwetu, wa kwetu wanataka kutunasa kwenye ndoa. Sisi wanaume ni bidhaa windwa.
 
Hizi shutuma zikianzaga utaanza kusikia mara adidas, mara sijui ile kampuni ya perfume aliyokua na endorsement nayo inajivua, ghafla mkataba na club umefutwa yani tafrani tupu na kufulia juu.

Kifupi tumuombee atoboe na hizi shutuma zisiwe za kweli tu.
 
Ni kwamba huyo demu alilazimishwa au vp? Yn ishu ya kubakwa inaelezwa vp na huyo mrembo? Au alinyweshwa pombe asubuh anajikuta kesha ingiliwa?
 

acha chuki ndugu
 
Ni kwamba huyo demu alilazimishwa au vp? Yn ishu ya kubakwa inaelezwa vp na huyo mrembo? Au alinyweshwa pombe asubuh anajikuta kesha ingiliwa?

Kesi za kubaka za Ulaya ni vichekesho tu, Demu anakuja geto anatoa ushirikiano mpaka mnamaliza halafu baada ya miezi sita anakwenda Polisi anafungua kesi kuwa ile siku uliomgonga hakuwa amaridhia kugongwa ila ulilazimisha tu kumla.

Wazungu ni watu wa ovyo sana.
 
CR7 naye aliwahi kupata ila akatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…