Achraf Hakimi ashtakiwa kwa madai ya ubakaji wa binti wa miaka 24

Hao mademu ni wahuni wanataka hela rahisi za wachezaji. Hawana tofauti na wa kwetu, wa kwetu wanataka kutunasa kwenye ndoa. Sisi wanaume ni bidhaa windwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! Mimi mwenyewe ilishanitokea siku moja. Nilikimbiaaaa
 
Nanukuu

"Wale watu wapo kila sehemu na huwezi kuwakimbia wakiamua la kwao wapo kila sehemu katika kila sekta katika kila nchi"

"Wamesema wanahitaji generation 6 kuanzia sasa waondoe kabisa dini maana dini inakandamiza watu"

Pole sana achraf hakimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…