Habari za jumapili wakubwa!
Katika harakati za kuboresha carer yangu, nimekutana na hii kitu ACI The Financial Markets Association, nimejaribu kufuatilia sehemu ambazo wanapatika hapa Tanzania lakini sijapata info za kutosha.
Mwenye kujua kuhusu training centre, utaratibu wa registration n.k naomba anijulishe!