Acid

Acid

tashyno abas

Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
12
Reaction score
8
Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
 
Chemsha chai ya kwenye maji nusu kunywa asubuhi kabla ya kula chochote then piga mswaki tekenya koromeo utapike. Itapungua sana hata kama nguvu huisha itarudi
 
Andaa 45000/- nikupe dawa ambayo itakusaidia kutibu hilo tatizo...
 
Back
Top Bottom