T tashyno abas Member Joined Jul 8, 2015 Posts 12 Reaction score 8 May 19, 2024 #1 Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 19,644 Reaction score 40,546 May 19, 2024 #2 Mcheki mzizi mkavu
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 May 19, 2024 #3 Chemsha chai ya kwenye maji nusu kunywa asubuhi kabla ya kula chochote then piga mswaki tekenya koromeo utapike. Itapungua sana hata kama nguvu huisha itarudi
Chemsha chai ya kwenye maji nusu kunywa asubuhi kabla ya kula chochote then piga mswaki tekenya koromeo utapike. Itapungua sana hata kama nguvu huisha itarudi
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 4,240 Reaction score 10,561 May 19, 2024 #4 Andaa 45000/- nikupe dawa ambayo itakusaidia kutibu hilo tatizo...