Acid!!

Acid!!

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
2,064
Reaction score
504
Kwa nini unanifanyia hivi lakini???
 
Anatumia line gani huyo mpwa? I believe is nothing to do with the tiGo one!
 
Cousin where you at? You urgent attention is required here
 
Nacheka tu hapa mwenyewe .........JS vipi mdogo wangu?? mganda kaachia ngazi nini au??
 
wewe nawe usingempa kidude chako....
ona sasa umempa kachapa mwendo!hahahhah...
tafuta tu mwingine,lol:redfaces:
 
Acid juu ya nini BABA, Kanda ya nini juu ya dada yetu JS?
 
LaughingSmiley.gif
 
wewe nawe usingempa kidude chako....
ona sasa umempa kachapa mwendo!hahahhah...
tafuta tu mwingine,lol:redfaces:
Fab................nimependa avartar yako. Kama ni wewe ah mashallahw
 
Wapi Acid, umefanya nn tena? mbn wamliza mwenzio
 
wewe nawe usingempa kidude chako....
ona sasa umempa kachapa mwendo!hahahhah...
tafuta tu mwingine,lol:redfaces:
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza

Phew!!!!!

haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?
 
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza

Phew!!!!!

haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?

Nitakuja kukusalimia ukiwa KEKO gerezani
 
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza

Phew!!!!!

haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?

HA HA HA HA HA HA Lol!!!!!!!
 
Back
Top Bottom