Mchungaji... mtoto nimemfuata mpaka Lahore, kakauka simu hapokei, email hajibu... sasa sijui nini tena kimemkuta huko kwa akina perves musharraf yarrabi!!!Anatumia line gani huyo mpwa? I believe is nothing to do with the tiGo one!
Kwa nini unanifanyia hivi lakini???
swahiba... hebu acha kabisaa hizo, siendi keko wa la segerea, ntakua pangani kuanzia tarehe 18 kuna pweza na supu yakeNitakuja kukusalimia ukiwa KEKO gerezani
Fab................nimependa avartar yako. Kama ni wewe ah mashallahw
we acha tu........ kanikumbusha mbali atiHii sentensi nzito sana...
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza
Phew!!!!!
haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?
Si umenisusa kabisa, hunijibu message zangu na unajua jinsi gani navyoKUpenda............
ndugu yangu weee.... naona kuna haja ya kutumua mtu aisee akacheki hali ya mwanetu, maana naona kama yule jamaa wa mikono ya sweta keshaharibuNacheka tu hapa mwenyewe .........JS vipi mdogo wangu?? mganda kaachia ngazi nini au??
The Following 4 Users Say Thank You to JS For This Useful Post:
Today 01:36 PM
Jamani hizi thanks za nini? si afadhali mngenipa mimi!
dah.....Si umenisusa kabisa, hunijibu message zangu na unajua jinsi gani navyopenda kusikia toka kwako........
Nacheka tu hapa mwenyewe .........JS vipi mdogo wangu?? mganda kaachia ngazi nini au??
Mi nkajua ulivyoenda kule ulikwenda ozesha kwa huyu sebbo sasa kimesanuka lawama zarudi kwako!! Ahndugu yangu weee.... naona kuna haja ya kutumua mtu aisee akacheki hali ya mwanetu, maana naona kama yule jamaa wa mikono ya sweta keshaharibu
JS: ushawahi kusoma tenzi ra rohoni weye? Muulize MJ akupe kopi
Si umenisusa kabisa, hunijibu message zangu na unajua jinsi gani navyopenda kusikia toka kwako........
Poa tu mwaya dada MJ1..mganda kidogo anioe alienda kununua na pete kabisa (gold ya ukweli) akidhani nitakubali kuwa naye...wapiiii na bado nikamtosa mazima na naendelea kumtosa.
Huenda yuko busy kule uani......Hapokei hata simu jamani hii ni hatari!