ndugu yangu weee.... naona kuna haja ya kutumua mtu aisee akacheki hali ya mwanetu, maana naona kama yule jamaa wa mikono ya sweta keshaharibu
JS: ushawahi kusoma tenzi ra rohoni weye? Muulize MJ akupe kopi
Thats my sweet little sisy...........naona HakiElimu umeikamata ipasavyo.....SIDANGANYIIIIKIIIII.Poa tu mwaya dada MJ1..mganda kidogo anioe alienda kununua na pete kabisa (gold ya ukweli) akidhani nitakubali kuwa naye...wapiiii na bado nikamtosa mazima na naendelea kumtosa.
Yaani hii balahMkuu Acid, with all due respect kwa nini unamfanyia JS kwa namna ambayo hapendi kufanyiwa? Hujamalizaga twisheni yetu ile?
Samahani leo nimesahau miwani so maandishi madogo madogo siyaoni vizuri.Tena hapo ndo haswaaa pamenifanya niandike hii...ulikuja mpaka huku ukaondoka hivi hivi
Thats my sweet little sisy...........naona HakiElimu umeikamata ipasavyo.....SIDANGANYIIIIKIIIII.
Haya nambie Acid naye kakufanyia vije?? (Sema taratibu asisikie)
kwa hili maswahiba watanitetea maana nilisema kabisa niko lahore na js simpati... nikaishia kula mipilipili hadi ile shughuli ya toilet nikawa naenda na ice packsTena hapo ndo haswaaa pamenifanya niandike hii...ulikuja mpaka huku ukaondoka hivi hivi
yani i cameSamahani leo nimesahau miwani so maandishi madogo madogo siyaoni vizuri.
babu mekugaya.......ndo nini na wewe kunifanyia hivyo? Au unataka nami nikupandie hewani kama JS eh?Mjukuu umeanza lini umbeya? Babu atakuchapa, ala! Hebu huko....... niitie bibi yako, babu nna kiu hapa.
Nimekuwa mbaya tena kaka Finest...acha hizo bana!!!!
Tena hapo ndo haswaaa pamenifanya niandike hii...ulikuja mpaka huku ukaondoka hivi hivi
halafu wewe.......Mi nkajua ulivyoenda kule ulikwenda ozesha kwa huyu sebbo sasa kimesanuka lawama zarudi kwako!! Ah
JS................ haya tujuze kakutendani huyu Acid?
kwa hili maswahiba watanitetea maana nilisema kabisa niko lahore na js simpati... nikaishia kula mipilipili hadi ile shughuli ya toilet nikawa naenda na ice packs
we mtoto wewe, basi tu:teeth:
dah.........yamekua haya tena??acid now i understand why js was complaining about you
sasa unachukia.....Acid mi sikujua unakuja huku lakini unakumbuka nilikupaga email tuwasiliane lakini hukufanya hivyo?? sasa am paying seriously na imebidi nilete upande huu kwa maswahiba....