umeanza........sasa unachukia.....Acid mi sikujua unakuja huku lakini unakumbuka nilikupaga email tuwasiliane lakini hukufanya hivyo?? sasa am paying seriously na imebidi nilete upande huu kwa maswahiba....
Seriously I have a red one for you ................jibu kwanza shutuma kwa nini unamfanyia JS mambo ya kumwumiza?dah.........yamekua haya tena??
Let me order black label for tonight
usiniache peke yangu bana....... mtoto kachukia huyuPhweeeh.............ehe..........endelea mamii
sikujua anaumia aisee..... na nilimwambia roho ikiuma aseme, maana yule mganda mie nilishamhisi vibayaSeriously I have a red one for you ................jibu kwanza shutuma kwa nini unamfanyia JS mambo ya kumwumiza?
Sikuachi peke best ila I want to be fair lol. Usirudie tena. Haya JS msamehe hatarudia tena..........mwite PM huko akupigie magooti si hapa hadharani. Mwanaume huyu bwana.usiniache peke yangu bana....... mtoto kachukia huyu
Ah.........am out of here. Didint see this thread at allsikujua anaumia aisee..... na nilimwambia ikiuma aseme
not what you are thinkingAh.........am out of here. Didint see this thread at all
Ah.........am out of here. Didint see this thread at all
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza
Phew!!!!!
haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?
Si umenisusa kabisa, hunijibu message zangu na unajua jinsi gani navyopenda kusikia toka kwako........
Hii thread babu kapotea njia. Kwaheri Acid na dada yangu JS.
ndugu yangu weee.... naona kuna haja ya kutumua mtu aisee akacheki hali ya mwanetu, maana naona kama yule jamaa wa mikono ya sweta keshaharibu
JS: ushawahi kusoma tenzi ra rohoni weye? Muulize MJ akupe kopi
Ah.........am out of here. Didint see this thread at all
Kwa nini unanifanya hivi lakini???
Siku nyingine ukiennda Lahore...usiondoke hivi hivi?hebu soma post yangu maana naona umeichakachua
Orait ..orait...nimekuelewanot what you are thinking
Closer...closer!.
Do you want another rap?
dah.........yamekua haya tena??
Let me order black label for tonight
We nani kakupa visa??Should we expect you later today????