Acid!!

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
sikujua anaumia aisee..... na nilimwambia roho ikiuma aseme, maana yule mganda mie nilishamhisi vibaya

Roho iliniuma nikasema na hukufanya chochote Acid....
 
Ndio maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana Kumbe Acid uko hivyo:redfaces:
 
dah... Kweli hii tribunal


Sasa mkulu, ngoja jioni "jopo" likae na wewe manake hii ni very serious...The finest hatakuwepo ila wengine wote wakulu wa hapa...Asprin, Teamo, MJ1, GY, Kimey, st RR na wakubwa wengine tutakaa tujadili hili tukupe na mbinu mbadala za kuovercome hii

halafu katiba ya ISC itabidi tukupe hard copy, maana kusoma soft copy unaoverlook. vyengine,,

NN atashiriki huu mkutano via Video conference,,,,,ial itabidi atangaze kabisa kama kuna conflict of interest

hi ni balah aisee on this very friday!
 
dah... Kweli hii tribunal

Pole lakini kaka Acid...nimeshindwa kuvumilia mdogo wako.....hehehehe hebu kanijibu ile PM yangu basi
 
Pole lakini kaka Acid...nimeshindwa kuvumilia mdogo wako.....hehehehe hebu kanijibu ile PM yangu basi
Halafu wewe....... upo Dar, kadhahar au kunduz? maana naskia ushaingia afghan
 

Mwenyekiti naomba ufafanuzi natumaini hapo kwenye red haina uhusiano na yale mambo ya kanisani
 
Mwenyekiti naomba ufafanuzi natumaini hapo kwenye red haina uhusiano na yale mambo ya kanisani


In fact namaanisha kuwa utakuwa kwenye practical session ya counseling na mtumishi ZD>.....
 

Mwenyekiti wa ISC...........kwa heshma na taadhima ninaomba jina la MJ1 liondolewe hapo. Kutakuwa na conflicts of interest afu hatutafikia muafaka. ... Iam an IPC by nature remember??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…