Acid!!

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Pole lakini kaka Acid...nimeshindwa kuvumilia mdogo wako.....hehehehe hebu kanijibu ile PM yangu basi
Orait ..... orait kwa hilo sidhani kama kamati ya ISC ikiongozwa na mwenyekiti wake Mstahiki Kaizer wana haja ya kukutana tena kujalili hii kesi.
 
It feels like I've been kicked in the gut....or rather in the nuts. Now another brother is taking over!!! It's a double whammy...damn!
 
Mwenyekiti wa ISC...........kwa heshma na taadhima ninaomba jina la MJ1 liondolewe hapo. Kutakuwa na conflicts of interest afu hatutafikia muafaka. ... Iam an IPC by nature remember??

aah....MJ1....wewe umpe Acid red label, tena aipitie ofisini kabla hajakutana na JS ili ampigie magoti, hizi busara unataka zipotee eti wka a flimsy reason kwamba upo kwenye sijui nini LOL

hapana.....njoo. Acid na Js wanakuhitaji sana kwenye hili...
 
It feels like I've been kicked in the gut....or rather in the nuts. Now another brother is taking over!!!

We are so sorry.....but may be nawe uliitwa kutoa msaada kwa mdogo wako ukayaziba masikio usisikie kilio chake
 
aah....MJ1....wewe umpe Acid red label, tena aipitie ofisini kabla hajakutana na JS ili ampigie magoti, hizi busara unataka zipotee eti wka a flimsy reason kwamba upo kwenye sijui nini LOL

hapana.....njoo. Acid na Js wanakuhitaji sana kwenye hili...
Hhahhahahaa eti tonge halichagui mboga............nyie watu hizo signature zenu mwazitoapi lakini ah mi mctaki kwani mwananacha hoi!!
 
It feels like I've been kicked in the gut....or rather in the nuts. Now another brother is taking over!!! It's a double whammy...damn!

ooom man.....c'mon would you allow it? lets see what happens.. have your ear on the ground brother....
 
Orait ..... orait kwa hilo sidhani kama kamati ya ISC ikiongozwa na mwenyekiti wake Mstahiki Kaizer wana haja ya kukutana tena kujalili hii kesi.
naona sasa mmeanza kuiweka ki-infii

that is not right buddies...
 
Orait ..... orait kwa hilo sidhani kama kamati ya ISC ikiongozwa na mwenyekiti wake Mstahiki Kaizer wana haja ya kukutana tena kujalili hii kesi.

Haja ipo sana...actually thats an indication kwamba kikao kinatakiwa haraka sana...
 
We are so sorry.....but may be nawe uliitwa kutoa msaada kwa mdogo wako ukayaziba masikio usisikie kilio chake

Aaah MwanajamiiOne.....it's like a ton of bricks has fallen onto me. I'm discombobulated.....can't think straight.
 
Halafu wewe....... upo Dar, kadhahar au kunduz? maana naskia ushaingia afghan

Ndo naelekea huko Afghan sasa nitarudi na opium kwa ajili yako....

naomba unisamehe......sirudii tena

Haya mwaya usirudie tena...lakini hujajibu PM yangu au nikuanzishie ya PM tena hapa hapa????
 
Aaah MwanajamiiOne.....it's like a ton of bricks has fallen onto me. I'm discombobulated.....can't think straight.
Why bro? .....or is there something more than what I gathered here?......kuwa why aitwe kaka mdogo wakati kaka mkubwa upo kutoa msaada au? uh
 
wakuu, kimila kijana akiwa ana kesi huita wazee na pamoja na kusikilizwa kwa kesi, huwa kijana anahitaji kuandaa mbuzi na mchele na mbege....... naomba niahidi nitafanya hivyo na pia ntaomba mzazi mwenzangu MJ1 tusaidiane kuandaa hiyo shughuli ili roho ya mtoto itulie, anaonekana amepata maswahiba makali sana toka kwa mganda; sijui jamaa amefanyaje tena?
 
Ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.....................nshakuwa mzazi mwenzio!!......am speechless hili ni bonge la dafrao umenipiga
 
Why bro? .....or is there something more than what I gathered here?......kuwa why aitwe kaka mdogo wakati kaka mkubwa upo kutoa msaada au? uh

hahaha there is always more that what meets the eye MJ1......lol
 
Aaah MwanajamiiOne.....it's like a ton of bricks has fallen onto me. I'm discombobulated.....can't think straight.

Niaje shugacake wangu mambo vipi mwaya.....what seems to be the problem?just air it out my love mmh...kwenye bold nimepotea maana ni msamiati mpya kabisaaaaa kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…