Come on now shugacake you know me better than that mmh........i cant do anything to make you feel bad. You have my word
Sasa utaniudhi shugacake hebu andika lugha inayoeleweka
the word aint enuf.....( seems)
Quintessentially circumambulate and disorienting while recapitulating freely to superannuate!
Komredi vibomba kama hivi ndo napo mkumbuka Pundit na mpwa Blueray
Phew!!!!Sweet lady o' mine. Thank you for assuaging my fears.
Komredi vibomba kama hivi ndo napo mkumbuka Pundit na mpwa Blueray
Heheheheeee.......naweza kuliziba pengo lake bila matatizo....ni huyu JS ndo kanifanya niende huko.
Wewe JS wewe......
Kwa nini unanifanyia hivi lakini???
Mpwa vipi upo? NN kaanza kuyaporomosha hapa nikasema duh,,,,haya mambo mengine mtu unaweza kupata kichaa kabisa aisee mi ngoja nikaanze ijumaa sasa

Binamu kuanza ijumaa eee??? yani nimemiss kuanza ijumaa sikumbuki mara ya mwisho kuanza ijumaa (in other words, nina hamu ile mbaya ya kupombeka yaani binamu siku 97 bila pombe hasnt been easy)