Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ni rough cut ya wimbo ambao nilikuwa nao mawazoni kwa karibu miaka mitatu sasa. So I decided to pick up my guitar na kurelax kidogo kwa kucheza muziki huu.. hope waimbaji wazuri wanaweza kuufanyia kazi vizuri zaidi. Composer ni Mimi, Melody na arrangement..
(of course to studio ya kijiji); kusikiliza vizuri tumia headphones
Toleo la HD litatoka baadaye -hope kabla ya krismasi
Enjoy
(of course to studio ya kijiji); kusikiliza vizuri tumia headphones
Toleo la HD litatoka baadaye -hope kabla ya krismasi
Enjoy
Last edited by a moderator: