Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mzee Mwanakijiji karibu sana uswahilini huku.
Tumezoea kukuona kule kwenye jukwaa la wakazi wa Masaki na Oysterbay (Siasa) na mara chache chache kwenye lile jukwaa la Sinza MMU, lakini leo umefanya vyema kutukumbuka wakazi wa Tandale kwa mfuga chawa CHITCHAT
hongera sana mzee
Merry ChristmasAsante Merry Christmas!
We Preta.. umesema "hali" what?...lol
halijojo Mzee Mwanakijiji......ni aina ya hali inayomfanya mtu awe dede.......
Thanks Mzee Mwanakijiji for the quality Christmas present! Merry Christmas in advance!
Asanteni nitatoa the HD version Ijumaa inshallah... nilitaka nione kama na miye naweza kuimba kidogo...
hivi HD version bado tu.. mzeeAsanteni nitatoa the HD version Ijumaa inshallah... nilitaka nione kama na miye naweza kuimba kidogo...
hivi HD version bado tu.. mzee
Ha ha ha nyuzi hii imenikumbusha vigaga wa JF enzi zile ndo naanza kutumia.Duh nilishasahau hili sijui mwaka gani...