ACP Mwangasa: Sheria ya Makosa ya Mtandao Imepunguza Uhalifu wa Mtandaoni

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO IMEPUNGUZA UHALIFU WA MTANDAO- ACP MWANGASA

ACP Joshua Mwangasa, Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya Mtandao kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania amesema kuwa kabla ya kutungwa kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kesi nyingi zilizokuwa zikiripotiwa zilikuwa hazifiki mwisho kwasababu ya kukosekana kwa vifungu vinavyohusisha makosa ya mtandao moja kwa moja kutoka kwenye sheria ya msingi ya Penal Code.

Amesema kuwa utungwaji wa sheria hiyo umekuwa na mafanikio makubwa kwa kupunguza makosa ya uhalifu wa mtandao kwa wananchi kuripoti matukio ya uhalifu wa mtandao katika vituo vya polisi na kushughulikiwa ipasavyo.

Ameongeza kuwa mafanikio hayo yametokana na ushirikiano uliopo baina ya Jeshi la Polisi Tanzania, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wananchi na wadau wengine katika utoaji wa elimu kwa umma na ushughulikiaji wa makosa hayo.

Kwa upande gani?

Kwa bahati mbaya Sana, Wahalifu wengi wa makosa ya Mitandaoni wapo huko aliko kwenye vyombo vya dola au hata wale waliopo uraiani basi kwa namna Moja au nyingine lazima watakuwa na ushirikiano na Watu wa huko alipo huyo mtoa taarifa hii.

I'm talking by experience.
Na siku hizi utaona kwamba hao Wahalifu wao wa mitandaoni ambao wamekuwa wakiwatuma kuwafanyia watu uhalifu, mara tu Watu (wahalifu) wao hao wanapokamilisha missions walizotumwa haraka sana huwa wanabadilisha Majina ya wamiliki wa namba za simu (SIM cards) walizotumia kwenye hizo missions zao za uhalifu.
 
SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO IMEPUNGUZA UHALIFU WA MTANDAO- ACP MWANGASA

ACP Joshua Mwangasa, Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya Mtandao kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania amesema kuwa kabla ya kutungwa kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kesi nyingi zilizokuwa zikiripotiwa zilikuwa hazifiki mwisho kwasababu ya kukosekana kwa vifungu vinavyohusisha makosa ya mtandao moja kwa moja kutoka kwenye sheria ya msingi ya Penal Code.
Amesema kuwa utungwaji wa sheria hiyo umekuwa na mafanikio makubwa kwa kupunguza makosa ya uhalifu wa mtandao kwa wananchi kuripoti matukio ya uhalifu wa mtandao katika vituo vya polisi na kushughulikiwa ipasavyo.
Ameongeza kuwa mafanikio hayo yametokana na ushirikiano uliopo baina ya Jeshi la Polisi Tanzania, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wananchi na wadau wengine katika utoaji wa elimu kwa umma na ushughulikiaji wa makosa hayo.
Hawa wanaonitaka nitume kwenye namba hii. Wanapata wapi namba yangu?
Hawa wanaonitaka nikatae rushwa wakati kila muda nawaona traffic wakipokea rushwa ni wanataka nikaripoti wapi
 
Back
Top Bottom