M Mchapakazi Member Joined Feb 24, 2008 Posts 67 Reaction score 18 Jun 12, 2010 #1 Kuna mtu yeyote mwenye kuweza kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo cha miti ya Agrocarpus? Au kama anauza huo ushauri pia nambie maana utaalamu ni pesa. Maelezo machache kuhusu huo mti yapo hapa: Species Information Natanguliza shukrani. Mchapakazi
Kuna mtu yeyote mwenye kuweza kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo cha miti ya Agrocarpus? Au kama anauza huo ushauri pia nambie maana utaalamu ni pesa. Maelezo machache kuhusu huo mti yapo hapa: Species Information Natanguliza shukrani. Mchapakazi
Kwetunikwetu JF-Expert Member Joined Dec 23, 2007 Posts 1,535 Reaction score 412 Jun 12, 2010 #2 Hauna something special.............ni mti tu wa kawaida mkuu ambao unaweza kukupatia mahitaji ya kawaida yatokanayo na mti!
Hauna something special.............ni mti tu wa kawaida mkuu ambao unaweza kukupatia mahitaji ya kawaida yatokanayo na mti!