Acsee 2013 results

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Haya jamani wale mliomaliza form six wenzangu!,mliokuwa mnadai matokeo hayoo,wiki ijayo ndo wiki ya matokeo.tetesi za tangu 23 april kuwa masomo fulani yamefanya vibaya utajulikana wiki ijayo.
 
Dah kumbe ndio wiki ijayo ndalichako anatutangazia div-one zetu
 
Ukilima mahindi utavuna mahindi, usitarajie kuvuna mpunga kabisaa, so mtavuna mlichokipanda.
 
Ha ha ha ha ha.Umenifurahisha sana kijana.Huo ndo uanaume,kujiamini.
huyo mwanaume anasubiri division one yake.....
mimi mwanamke nasubiri kutangaziwa point 3 zangu.........
"Mwanamke kujiamini"
 
watu tutakimbia JF km form four 2012 walivyosepaa... sahv tunajifariji kwa kucomment na kutupia status lakin mara tu Ndalichako atakapovunja ukimya signature zetu zina xpire!!
 
Haijalishi utaangukia pua au la, tupo tayari kuwapa ushauri kadiri ya uwezo wetu. Mjitahidi kusema ukweli, pia kuandika kwa heshima.
Nasema hivyo, kuwa kuna thread ya kwanza kabisa kuhusu habari za matokeo, haikuja na habari njema, iliandikwa sawia, na nitalinganisha na hali itakavyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…