Acsee 2013 results

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
647
Reaction score
72
habari za uhakika n hz hapa: Poleni sana kidato cha sita wenzangu kwa kuwa na stress za kusuburi matokeo ila kwa taarifa yako ni kwamba shusha pressure tu yaani kwani kutokana na ubovu wa matokeo hayo wizara ya elimu inafanya kila liwezekanalo kuchelewesha matokeo ili kupunguza idadi ya watakao jinyonga kwani wahtimu kwa sasa wako hot kusikia matokeo yaktangazwa lkn kwa kifupi matokeo yanatangwazwa tarehe 5 mwezi huu..
Naomba kuwasilisha ujumbe wakuu!
 
acha uongo wewe taarifa umezpata wapi.?
 

ndo kawaida yenu
 
Ukitaka kujua idadi ya chekechekea waliopo JF basi ingia jukwaa la Elimu.
 

E.T.C=End of your thinking capacity
 
Ukitaka kujua idadi ya chekechekea waliopo JF basi ingia jukwaa la Elimu.

Na hasa kipindi cha matokeo. Mkuu vipi derby yetu na Everton?
 
Mleta mada we ni mwongo, tangu lini matokeo yakatoka jumapili(tar 5). Be serious bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…