Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Shida cuf bara Lipumba ameiua kwa tamaa, kwa sasa hata uwezo wa kuongoza hana ila among'ang'ania kiti mwanzo mwisho atiChama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Soma: Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma.
View attachment 3230552
Siwezi kuwaamini hawa ACT, wametumwa. Kule Visawani wana kipato cha kutosha. Kwanza wakiachie hicho kipato tuone.Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Soma: Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma.
View attachment 3230552
Hapo kwenye cufChama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Soma: Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma.
View attachment 3230552
Hata NCCR ni CCM tupuWawe makini sana na Mzee Lipumba.
Lipumba hata akigombea udiwani kata aliyozaliwa hakuna wa kumchaguaShida cuf bara Lipumba ameiua kwa tamaa, kwa sasa hata uwezo wa kuongoza hana ila among'ang'ania kiti mwanzo mwisho ati
Huhitaji hata kura moja kutoka Znz kuwa rais wa JMT, kaa na hilo.Waende mozambiq wakaongeze podems hawawezi hiyo Act ina nguvu visiwani bara mdebwedo chadema wana nguvu bara na ukristo wao visiwani kwetu hawana nguvu hata ya kura moja!
Chama pekee ninachokiamini hapo ni CHAUMMA, japo hakina ushawishi wowote. ACT ni mashaka matupu, CUF na NCCR cdm wasithubutu kuungana nao hata kwa bahati mbaya, hasa kwenye hizi chaguzi za kihuni. Hawa ndio watahongwa kupotosha matokeo na kuleta migogoro isiyo na lazima.CUF na NCCR ya sasa nina wasiwasi navyo
Kidogo ACT baada ya Zito kukaa pembeni inaweza kuwa na manufaaChama pekee ninachokiamini hapo ni CHAUMMA, japo hakina ushawishi wowote. ACT ni mashaka matupu, CUF na NCCR cdm wasithubutu kuungana nao hata kwa bahati mbaya, hasa kwenye hizi chaguzi za kihuni. Hawa ndio watahongwa kupotosha matokeo na kuleta migogoro isiyo na lazima.
Ndio maana nimeiweka kwenye chama cha mashaka.Kidogo ACT baada ya Zito kukaa pembeni inaweza kuwa na manufaa
SureNdio maana nimeiweka kwenye chama cha mashaka.
HARUNA asiwepo kwenye hilo kolabo....mpuuzi sanaChama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika Jimbo la Kibiti, wakati akiendelea na ziara yake ya siku tatu katika majimbo matatu ya Mkoa wa Kichama wa Mwambao.
Soma: Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani
Ado Shaibu amesema tayari ACT Wazalendo kimezungumza na vyama vyenye nguvu vya upinzani, vikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR- Mageuzi
Amesema vyama hivyo vina historia ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ambao walidai ulikumbwa na dhuluma.
View attachment 3230552
Kwani vipi utakwenda kupiga kura!Chama pekee ninachokiamini hapo ni CHAUMMA, japo hakina ushawishi wowote. ACT ni mashaka matupu, CUF na NCCR cdm wasithubutu kuungana nao hata kwa bahati mbaya, hasa kwenye hizi chaguzi za kihuni. Hawa ndio watahongwa kupotosha matokeo na kuleta migogoro isiyo na lazima.
Sawa!Huhitaji hata kura moja kutoka Znz kuwa rais wa JMT, kaa na hilo.