Pre GE2025 ACT wadai Dr.Mwinyi ni mzigo waliopelekewa na Magufuli. Wamepania kuurejesha Tanganyika 2025.

Pre GE2025 ACT wadai Dr.Mwinyi ni mzigo waliopelekewa na Magufuli. Wamepania kuurejesha Tanganyika 2025.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 8
..ACT wametoa kauli ambazo zimetolewa na Mtanganyika lazima angeshtakiwa.

..ktk hotuba yao wanamfananisha Dr.Mwinyi na mzigo uliovunda uliopelekwa Zanzibar na Dr.Magufuli.

..Na wanasema 2025 wataurudisha ulikotoka, kwa maana Tanganyika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=F5v9VVlRhIw

Uchaguzi unakaribia sarakasi zimeanza. ACT wamejificha kwenye kivuli cha serikali ya umoja na sasa wanaanza kutoka taratibu wapate gea ya kuingia wananchi ili wawape tena miaka mitano ya ulaji.
 
Naunga mkono hoja imefika muda wa kumuondoa mkoloni Tanganyika tupate uhuru.
 
..ACT wametoa kauli ambazo zimetolewa na Mtanganyika lazima angeshtakiwa.

..ktk hotuba yao wanamfananisha Dr.Mwinyi na mzigo uliovunda uliopelekwa Zanzibar na Dr.Magufuli.

..Na wanasema 2025 wataurudisha ulikotoka, kwa maana Tanganyika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=F5v9VVlRhIw

Naunga mkono hoja Mwinyi utawala wake umetokana na damu za Wapemba zilizomwagwa na wale askari wa kihutu walioletwa na dhalim Magufuli.
 
Back
Top Bottom