Kibondo wanajua, ndio maana chama kina madiwani huko. Ujaluoni huko koryo ndiko wanaweza wasijue.Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya ACT-Wazalendo.
hiki ni chama mbadala wa cuf, chama cha kidini na wapo pale sio kwa ajili ya kutwaa nchi, ila kupata posho za kuishi. chadema nayo iko tu hivyo, tz hatuna chama cha upinzani, ndio maana ccm wana amani muno wanajua hakua wa kuwatoa. na ni kweli hayupo.Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO). Jifunzeni kutoka kwa Vyama hivyo viwili. Sisi siyo Waingereza. Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya ACT-Wazalendo.
Kikumndi kidogo kiko Zanzibar. Leo anasemankuna tume. Huru kwa vile kuna neno tume huru. Eti Wakurugenzi hawatasimamia uchaguzi wakati maofisa wa serikali waliopendekezwa wote wanaajiliwa na Rais na wako chini ya RAS ambaye anateuliwa na Rais. Zito anachokiwaza ni kupata ubunge kigoma mjini ambako anaona hata kama hakuna tume huru anakubalika atapita. Ndiyo maana akili yake imekwenda tengeKirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO).
Jifunzeni kutoka kwa Vyama hivyo viwili. Sisi siyo Waingereza. Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya ACT-Wazalendo.
Punguza kuongea uongo. Hakuna vyama vya upinzani?. Mbona 2015 waliipata asilimia 58 ya kura urais si wangepata asilimia 100?. CCM wamefuta uchaguzi Zanzibar Kama hakuna upinzani si wangeshinda moja kwa moja?.hiki ni chama mbadala wa cuf, chama cha kidini na wapo pale sio kwa ajili ya kutwaa nchi, ila kupata posho za kuishi. chadema nayo iko tu hivyo, tz hatuna chama cha upinzani, ndio maana ccm wana amani muno wanajua hakua wa kuwatoa. na ni kweli hayupo.