ACT Wazalendo: CCM wamekiri hawajawahi kushinda Urais wa Zanzibar sasa tunawaambia 2025 watake wasitake wataondoka!

ACT Wazalendo: CCM wamekiri hawajawahi kushinda Urais wa Zanzibar sasa tunawaambia 2025 watake wasitake wataondoka!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kaimu Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Jussa amesema Kiongozi mmoja mkubwa wa CCM amekiri hadharani kwamba tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze CCM haijawahi kushinda uRais wa Zanzibar

Kwahiyo basi 2025 CCM waelewe mapema kabisa Watake Wasitake Wataondoka na moto tumeshauwasha leo, amesisitiza Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo

Mbarikiwe sana!
 
umeamka na wazimu kichwani. Huyo Jusa ni takataka kama takataka zingine za siasa.

Hajui anachokisimamia ila tumbo lake1 Limejaa makovu mwli mzima halafu eti leo ni mshirika wa CCM ....SUK
 
Ni kweli, ila wazanzibar kuweni makini kumpa Zitto nchi yetu.
 
umeamka na wazimu kichwani. Huyo Jusa ni takataka kama takataka zingine za siasa.

Hajui anachokisimamia ila tumbo lake1 Limejaa makovu mwli mzima halafu eti leo ni mshirika wa CCM ....SUK
Wewe makovu yake mwili mzima uliyaonaje?
 
Back
Top Bottom