ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
* Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano;

* Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM;

CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
 
Ustaarabu ni kupitia sanduku la kura,kapige kura wewe unayemtaka ashinde,acha kulia lia hapa
 
Hivi kuna ubaya gani kama wote wawili wakaingia kwenye uchaguzi na sanduku likaamua? Watanzania tuamke tusiogope ushindani katika uchaguzi mpaka imepelekea hata kuna sheria ya kuenguana ili tu mgombea wa chama fulani apate kitonga
 
inashangaza wapenda haki wasiotaka uchaguzi, wanataka Lisu mwenye ushawishi ACHIWE au APEWE uenyekiti.

Mbowe dhaifu, wanaogopa kumshindanisha na Lisu mahiri na mwenye ushawishi.

Juzi tu hapa walikuwa wanalakamika, ccm ina waengua wagombea wao.
 
* Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano;

* Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM;

CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
Na ndiyo.maana CDM ni imara kuliko chama chochote ikiwemo CCM..
Na ndiyo maana uchaguzi huu wa ndani wa CDM ngazi ya Taifa unaguatiliwa na kila raia wa TZ, Dola, Serikali yote, wanazuoni, Wakongwe wa siasa nchini nk
 
Back
Top Bottom