Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Ustaarabu ni kupitia sanduku la kura,kapige kura wewe unayemtaka ashinde,acha kulia lia hapa* Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano;
* Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM;
CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
Hivi kuna ubaya gani kama wote wawili wakaingia kwenye uchaguzi na sanduku likaamua? Watanzania tuamke tusiogope ushindani katika uchaguzi mpaka imepelekea hata kuna sheria ya kuenguana ili tu mgombea wa chama fulani apate kitongaUstaarabu ni kupitia sanduku la kura,kapige kura wewe unayemtaka ashinde,acha kulia lia hapa
inashangaza wapenda haki wasiotaka uchaguzi, wanataka Lisu mwenye ushawishi ACHIWE au APEWE uenyekiti.Hivi kuna ubaya gani kama wote wawili wakaingia kwenye uchaguzi na sanduku likaamua? Watanzania tuamke tusiogope ushindani katika uchaguzi mpaka imepelekea hata kuna sheria ya kuenguana ili tu mgombea wa chama fulani apate kitonga
Na ndiyo.maana CDM ni imara kuliko chama chochote ikiwemo CCM..* Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano;
* Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM;
CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi