Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini
==========
Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki na matakwa yote ya kisheria katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia hotuba yake ya mwisho mwa mwaka kutangaza kuwa utakuwa huru na wa haki.