ACT Wazalendo hili gwanda mmekopi wapi?

ACT Wazalendo hili gwanda mmekopi wapi?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
ACT Wazalendo nakiona kikichuana vikali kabisa na CHADEMA not CCM kwa safari yao kwenye chaguzi zijazo, hasa ukiangalia upande waliolalia na kuegemea.

Pamoja na kuiona ikileta challenge kuna hii sinema ya magwanda naiona inaanza kushika kasi naweza kuita 'black owls' hilo vazi nilikiona wakivaa CHADEMA but juzi na leo nawaona makada wa ACT Wazalendo wakifanyia usafi huko Nungwi Unguja - Zanzibar kwa maandalizi ya mkutano wao.

20230221_125052.jpg


JUU: Vazila ACT kwa sasa☝🏾.
CHINI: Kulia ni Godbless Lema na vazi (black owl)


Screenshot_2023_0221_130623.jpg
 
Not yanawakikisha ni yanawakilisha@mhariri
 
ACT Wazalendo wakiambiwa ni ccm b wasiwe wabishi na kubaki kusemasema wanasingiziwa kuwa ni pro ccm. Wakubali au wakatae habari ndiyo hiyo na wanaimba na kucheza midundo ya ccm. Wale si wapinzani bali ni washirika wa CCM katika serikali. Ni wamoja na hawawezi kupingana. Cdm ndiyo chama cha upinzani japo safari hii kina woga mkubwa wa kujenga hoja.

ACT hakiwezi kuwa tripple standard, kwa maana kwamba ni ngumu kuwa na ushirikiano na ccm kwa upande mmoja na upande mwingine kiwe na ushirikiano na cdm, katikati kibaki chenyewe kama chama cha upinzani. Labda kiwe chama cha upinzani kwa cdm. Kwa hali ilivyo sasa ukija uchaguzi mkuu act itaathiri kura za upinzani na kusababisha ccm ipate ushindi mnono. Huu ni mtazamo hafifu wenye ukweli mtupu na halisi.
 
Back
Top Bottom