ACT Wazalendo iko tayari kuwaongoza Watanzania katika zama mpya

Kwa huku bara kaka yangu Zito una kazi kubwa. Huku bara cdm ndio ina uungwaji mkubwa wa watu.

Ngoja tuone iwapo mtaweza kupata katiba mpya, kinyume na hapo, wapinzani msitegemee kutuona kujiandikisha kupiga kura.

Tunakosea sana tunapodhani wapinzani ndo wana jukumu la kutuletea mabadiriko.
Hili ni jukumu letu sote, ulipaswa useme sote tupambane bega kwa bega tupate hiyo katiba mpya siyo kuwaachia wapinzani peke yao
 
Zitto hivi unawaza nini kuhusu kuungana wapinzani wenzako?
Je unaamini chama chako prke yake chaweza kushindsna na dubwana ccm na kushinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa katiba hii siku Zitto Kabwe akija kuwa rais jua litatokea magharibi kuelekea mashariki na Mbuzi atawika asubuhi badala ya jogoo.
 
Tunakosea sana tunapodhani wapinzani ndo wana jukumu la kutuletea mabadiriko.
Hili ni jukumu letu sote, ulipaswa useme sote tupambane bega kwa bega tupate hiyo katiba mpya siyo kuwaachia wapinzani peke yao

Wao ndio viongozi wa mchakato, mimi sina jukwaa maalum zaidi ya huku mitandaoni.
 
Viingozi wa upinzani na familia zenu zote muungane muanzishe maandamano na sisi tutawafata maana kwa jinsi mulivyo vigeugeu hatuwezi kuwaamini kuwa hamtatugeuka
 
Huna lolote na huna furaha wewe usiseme Watanzania wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushachoka tunahtaji kusikia mmeungana ,ile mje nalengo lenu moja.....tutachoka yaan kilachama kije nahutuba yake mana vikovingi ,tutasoma hatutamaliza uchaguzi utafika bado tunasomaga hutuba zenu.shame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa upinzani wanajitahidi kadri ya uwezo wenu, ingawa wananchi walalahoi bado tumelala
 
Wewe zitto huwa unaweka mabandiko yako hapa jukwaani halafu ukihojiwa au kuombwa hata kufanya clarification ya hoja hu-reply.
Kama hauko tayari hata kuchangamana na hii kadamnasi ndogo ya hapa JF ndo mtakuwa tayari kwa linchi lote hili lenye mamilioni ya watu?


I moved your cheese!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…