Sawa ndugu dua za,bibi,ila sijajua dua za babu zinasemaje je kwa maslahi ya taifa au wanamtandao.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, amesema kuwa uteuzi wake kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ni mwanzo rasmi wa safari ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani, akisisitiza kuwa Watanzania wanataka katiba mpya na haki ya kweli ya kuamua hatima ya nchi yao.
Akizungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa ACT Wazalendo uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam muda mchache kabla ya wajumbe hao kumchagua kuwa mgombea wa chama hicho, Mpina alisema: “Mkimpata Luhaga Mpina akawa mgombea wa kuipeperusha hii bendera ya ACT Wazalendo kazi imekwisha, safari ya kwenda kuing’oa CCM itakuwa imeiva leo na leo hii chama hiki kinaenda kuandika historia ya kuwa chama cha pili kuongoza dola nchini Tanzania.”
Mpina alilaani vikali kile alichokiita “danadana zisizo na msingi” kuhusu mchakato wa katiba mpya, akisema serikali iliyopo madarakani inawanyima Watanzania haki yao ya msingi.
View attachment 3435245
kwa tume hii hii ya Bi Kizimkazi?Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, amesema kuwa uteuzi wake kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ni mwanzo rasmi wa safari ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani, akisisitiza kuwa Watanzania wanataka katiba mpya na haki ya kweli ya kuamua hatima ya nchi yao.
Akizungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa ACT Wazalendo uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam muda mchache kabla ya wajumbe hao kumchagua kuwa mgombea wa chama hicho, Mpina alisema: “Mkimpata Luhaga Mpina akawa mgombea wa kuipeperusha hii bendera ya ACT Wazalendo kazi imekwisha, safari ya kwenda kuing’oa CCM itakuwa imeiva leo na leo hii chama hiki kinaenda kuandika historia ya kuwa chama cha pili kuongoza dola nchini Tanzania.”
Mpina alilaani vikali kile alichokiita “danadana zisizo na msingi” kuhusu mchakato wa katiba mpya, akisema serikali iliyopo madarakani inawanyima Watanzania haki yao ya msingi.
View attachment 3435245
Japo muda ndio mwamuzi, la msingi hoja zake, ndani na nje ya Bunge, zitatikisa kwenye majukwaa ya kampeniMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, amesema kuwa uteuzi wake kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ni mwanzo rasmi wa safari ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani, akisisitiza kuwa Watanzania wanataka katiba mpya na haki ya kweli ya kuamua hatima ya nchi yao.
Akizungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa ACT Wazalendo uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam muda mchache kabla ya wajumbe hao kumchagua kuwa mgombea wa chama hicho, Mpina alisema: “Mkimpata Luhaga Mpina akawa mgombea wa kuipeperusha hii bendera ya ACT Wazalendo kazi imekwisha, safari ya kwenda kuing’oa CCM itakuwa imeiva leo na leo hii chama hiki kinaenda kuandika historia ya kuwa chama cha pili kuongoza dola nchini Tanzania.”
Mpina alilaani vikali kile alichokiita “danadana zisizo na msingi” kuhusu mchakato wa katiba mpya, akisema serikali iliyopo madarakani inawanyima Watanzania haki yao ya msingi.
View attachment 3435245
Mbinu zitatumika kumweka madarakani lakini hatoweza kumaliza muda wake wa utawala, kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wakekwa tume hii hii ya Bi Kizimkazi?
Keep Dreaming mwabeja