Wanashupaza shingo kama Lissu aliyefikiri ataonewa huruma. Siku akila kitanzi ndio atajua CCM na Serikali yake haitanii kwa wanaohatarisha amani ya nchi hii!!!Washashupaza shingo watakusikia? Wacha shingo zao zivunjike ndo wapate akili. Bwege hawakumsikiliza watakusikia wewe?
Amani ya nchi ni nini? Hili neno linanikera kwelikweli.Wanashupaza shingo kama Lissu aliyefikiri ataonewa huruma. Siku akila kitanzi ndio atajua CCM na Serikali yake haitanii kwa wanaohatarisha amani ya nchi hii!!!
Nenda Gaza ujiunge na HAMAS. Nakuhakikishia utaelewa maana ya neno "amani" ndani ya muda mfuoi tu!Amani ya nchi ni nini? Hili neno linanikera kwelikweli.
Uoga mkuu wangu ndio amani.Amani ya nchi ni nini? Hili neno linanikera kwelikweli.