ACT wanataka kuleta Drama.Huyu si alishahamia Chadema? All in all kushiriki kwenye msiba ni sawa tu!
Sio kweliHuyu si alishahamia Chadema? All in all kushiriki kwenye msiba ni sawa tu!
ACT wanataka kuleta Drama. Nawashauri Chadema wasiingie kwenye mtego wa kuleta malumbano, kama ACT wanataka kuwa front kwenye mazishi basi Chadema washiriki kama rafiki wa karibu tu wa Marehemu .
Alishahamia Chadema na hata majuzi tu kawapa Bavicha gari yake kwenda kufanya operesheni ya kukitangaza Chadema jimboni kwake.Ila kama ACT wanataka kugharamia mazishi yake pia siyo vibaya kwani ni mtu ambaye waliwahi kuwa naye kwenye chama chao.Sio kweli
Sio kweli kuwa hakuhamia cdm hivi karibuni ama?Sio kweli
😂 ACT wameamua kutangaza kuubeba huo msiba kwa nia fiche. Wanajua wananchi wa kule walikuwa wanamkubali sana, hivyo wanahofia akaitajwatajwa kuwa alihamia cdm watapoteza huo mtaji. Kwahiyo wanataka ionekane bado ni mwana ACT kusudi wasipoteze huo mtaji.Alishahamia Chadema na hata majuzi tu kawapa Bavicha gari yake kwenda kufanya operesheni ya kukitangaza Chadema jimboni kwake.Ila kama ACT wanataka kugharamia mazishi yake pia siyo vibaya kwani ni mtu ambaye waliwahi kuwa naye kwenye chama chao.
Hata kwenye kesi ya Lisu amekuja several times kama Mwana Chadema. Alitangaza kabisa!Sio kweli
OkHata kwenye kesi ya Lisu amekuja several times kama Mwana Chadema. Alitangaza kabisa!
Wacha uzushi dada lini Chadema wametukana? Sisi tunajua Samia ndiye bingwa wa kubwatuka kwa sababu hana uwezo wa kujibu hoja.Mke wa marehemu Bwege ni kiongozi mkubwa ACT kwahiyo msiba kubebwa na ACT ni sahihi. Ikumbukwe ishu za msiba familia ndo huamua zaidi. Kama familia imeamua ACT ndo ihusike hakuna wa kupinga. Cha muhimu CHADEMA wasije kuanza kuwatukana familia kama walivyozoea kutukana yeyote aliye kinyume nao.
Alipewa kadi?Hata kwenye kesi ya Lisu amekuja several times kama Mwana Chadema. Alitangaza kabisa!
This is not a legal battle! moaka kihitaji kadi. Nikitangaza inatoshaAlipewa kadi?
Amandla...
This is not a legal battle! moaka kihitaji kadi. Nikitangaza inatosha
habari ya ufahari mazishini ni vitu useless sana wanasiasa hujaribu kuletaChama cha ACT Wazalendo kimetangaza kushtushwa na kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa mwanachama wake, Seleman Bungara maarufu Bwege, kilichotokea ghafla asubuhi ya Machi 30, 2026, alipokuwa akipatiwa matibabu ya kusafisha figo jijini Dar es Salaam. Chama hicho pia kimeahidi kugharimia mazishi ya marehemu.
Taarifa iliyotolewa na kiongozi wa chama hicho, Dorothy Semu, imeeleza kuwa kifo cha Bungara ni pigo kubwa kwa familia yake, chama pamoja na wafuasi wa siasa za upinzani nchini. Semu amesema chama kimepokea taarifa hizo kwa mshtuko na huzuni kubwa, kikikumbusha kuwa Bungara alikuwa mwanachama wao kabla ya hivi karibuni kutangaza kuhama chama.
Aidha, Semu ametoa pole za dhati kwa mke wa marehemu, Mwanawetu Said Zarafi, ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya ACT Wazalendo, pamoja na familia, ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huo
Soma pia TANZIA - Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia