Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao.
=====
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mnenje linalounganisha Kijiji cha Mnenje na Kitongoji cha Mtandika Wilayani Tunduru.
"Nimesikia kilio cha Wananchi wa Mnenje kuhusu kukosekana kwa daraja la Mto Mnenje. Chama chetu kimechangia gharama ya upatikaji wa mbao na tutaendelea kuchangia zaidi kuhakikisha daraja hili linakamilika" alisisitiza Ndugu Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ambaye yupo ziarani Wilayani Tunduru kukagua zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mashujaa Radio
Pia soma: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024