Watanzania ni watu wajinga sana hapa duniani l. CCM inawacheza kama kitenesiKazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..
Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA
CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
Kipindi kile Lipumba alijifungia ofisi makao makuu ya CUF, Mpaka ikabidi Hamad atandike daruga tu, aka hamia ACTKazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..
Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA
CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
chadema wana tabia mbovu sanaKazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..
Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA
CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
Kama huna matusi basi hujawa kada wa Chadema . KAZI YAO MATUSI. Wanapigania Demokrasia lakini hawajui Demokrasia . Kwao mtu yeyote ambae sio Chadema atapewa majina yote mabaya .chadema wana tabia mbovu sana
wana tabia ya excuses
yaani their own weaknesses badala wajilaumu wenyewe kwa kua na akili ndogo na kufanya makosa yanayowa cost hua wanaishia kulalamikia watu wasiohusika
wao hawafanyagi kosa,hapana,it is always others
CUf did blunders,act wakafaidika
chadema is doing blunders wanaofaidika ni chaumma na act na maccm
chadema sasa wanachofanya now,malalamiko,wao hawana kosa,hapana ,ni wengine ndio wana makosa
kama juzi wanamlalamikia mbowe
juzi kati wanailalamikia ccm
leo wanailalamikia aCT
mpaka mwisho wa siku chadema inayeyuka watamlalamikia sijui nani
yaani chadema ni mataahira,ccm,act,chaumma ni competitors wenu,na kazi zao ni kuiua chadema kama chadema inavyotaka kuwaua wao
chadema inadhani chaumma au act au ccm ipo hapa kuwa-treat vizuri na kuwaabudu sijui blah blah,wapo hapa kuua competitors,ndio maana ya competition
you motherfvckers will never learn!
Mkuu naskia Madeleka amehamia ACT kwa mkakati maalumu. Ni kweli?Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..
Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA
CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
Wanakuja kipindi ambacho technology ipo juu,kulinganisha na miaka hiyo uliyotaja,ndo maana chadema ni ngumu kufa kwa sababu utandawazi na matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii, ingekuwa technology ipo chini, chadema nayo ingekufa chaliii,maana sasa hivi wananchi wanafatilia kila unachosema leo na kesho, wanajua huyu ni mganga njaa au anapigania kweli mabadiliko,naamini ktk wakati ambao chadema itaungwa mkono na watu makini ni sasa kuliko kipindi chochote kile!Chaumma imekuja katika kipindi ambacho uelewa wa mambo kwa watanganyika siyo sawa na ule wa 2013 au 2014.
Hii chaumma project imeferi kabla haija kutekelezwa. Ni nani ataenda kuwasikiliza??
mkuuKama huna matusi basi hujawa kada wa Chadema . KAZI YAO MATUSI. Wanapigania Demokrasia lakini hawajui Demokrasia . Kwao mtu yeyote ambae sio Chadema atapewa majina yote mabaya .
kesho wana kikao mkuuSi mlishasusia uchaguzi mkuu, mnataka huruma ya nini? Tuliwaonya kuhusu kumfurusha Mbowe.
Katika makosa ambayo Maalim(RIP) alifanya ni kuhamia ACT. Au pengine siyo makosa bali alijua anachokifanya kwa sababu hata kuingia kwenye serikali ya kupewa slesi ya mkate haijakaa sawa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu hapo hapo ukajiita ni mpinzani wa hiyo serikali.Kipindi kile Lipumba alijifungia ofisi makao makuu ya CUF, Mpaka ikabidi Hamad atandike daruga tu, aka hamia ACT
Mbowe hakutukanwa bali alishindwa kusoma alama za nyakati. Mbowe alikuwa ameshachuja na kura za mtaandao zote zilionyesha hakubaliki tena. Hayo mengine uliyoandika ni ndoto zako.kesho wana kikao mkuu
nadhani watabadili gia angani watatangaza wanashiriki...
na pia wataizika no reforms no election kesho hiyo hiyo
pamoja na yote washachelewa tayari
maccm kupitia kwa mkuu wa tume washawapiga block hakuna kushiriki sababu hawajajaza form za maadili
cha ajabu,watakimbilia mahakamani....ambapo ni mahakama ya maccm wale wale...same results
hawa jamaa watakula kiburi chao wenyewe!
big mistake ni viongozi kumtukana mbowe bila hatia yeyote