fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,473
CHADEMA ni chama chenye watu wenye hoja. Ndiyo maana CCM baada ya kushindwa wanateka na kuua!Kama huna matusi basi hujawa kada wa Chadema . KAZI YAO MATUSI. Wanapigania Demokrasia lakini hawajui Demokrasia . Kwao mtu yeyote ambae sio Chadema atapewa majina yote mabaya .
Acha ukuda wewe, hivi CCM na CDM nani anaongoza kwa kutukana?Kama huna matusi basi hujawa kada wa Chadema . KAZI YAO MATUSI. Wanapigania Demokrasia lakini hawajui Demokrasia . Kwao mtu yeyote ambae sio Chadema atapewa majina yote mabaya .
Hatushiriki huo uchaguzi, ni bora chama kife kuliko kushiriki huo upuuzi wenu. ACT sijui chaumma ni nothing kwa chadema, tunapambana na dola maana ccm as a political party tumewazidi ushawishi zamani sana.mkuu
naona waliokua wanawatukana wote wamesepa na wengine wanafuata
hivyo hawana wa kumtukana tena...
wanaendelea kumtukana MBOWE nae atasepa
wakimaliza watawarudia wenyewe kwa wenyewe ndani
naona wana kikao kesho,nadhani watatangaza kushiriki uchaguzi na No reforms no election wataizika rasmi....pamoja na hayo washachelewa tayari!
Ulimuonya nani na wapi... Ukabila na UCCM unakusumbuaSi mlishasusia uchaguzi mkuu, mnataka huruma ya nini? Tuliwaonya kuhusu kumfurusha Mbowe.
We ulidhani Mbowe anaweza kukuachia chama chake! Kiko wapi?Ulimuonya nani na wapi... Ukabila na UCCM unakusumbua
CHAUMMA ili iende mjini lazima Chairman atumike kwenye kampeni ya Urais.Chaumma imekuja katika kipindi ambacho uelewa wa mambo kwa watanganyika siyo sawa na ule wa 2013 au 2014.
Hii chaumma project imeferi kabla haija kutekelezwa. Ni nani ataenda kuwasikiliza??
Kama Watanzania wapenda mabadiliko watakubali Chadema ife badi nitajuwa kiwango cha ujinga na ueleqa mdogo kipo juu.Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..
Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA
CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
Mambo ccm inayowafanyia watanzania kama ingekuwa Kenya, ccm wote na serikali yao wangekuwa wameisha kimbia nchi. Yaani mahosipitalini hakuna dawa, sheleni hakuna walimu wala vitabu halafu mijitu inatumia kodi za wananchi kutengeneza vyama vya siasa fake, na kununuwa pikipiki na magari ya kijani. Halafu magari hayo yanatembea mitaani watanzania hata kuyawasha na kibiliti wanashindwa. Hivi na katuloga?Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..
Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA
CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF
Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
Chadema ya saizi haina ndimi mbili.kesho wana kikao mkuu
nadhani watabadili gia angani watatangaza wanashiriki...
na pia wataizika no reforms no election kesho hiyo hiyo
pamoja na yote washachelewa tayari
maccm kupitia kwa mkuu wa tume washawapiga block hakuna kushiriki sababu hawajajaza form za maadili
cha ajabu,watakimbilia mahakamani....ambapo ni mahakama ya maccm wale wale...same results
hawa jamaa watakula kiburi chao wenyewe!
big mistake ni viongozi kumtukana mbowe bila hatia yeyote
Mkuu nchi hii labda ushindwe tu kutafakari tu. Zito Leo hii hata akiongea Hana ule ujasiri wake Tena mbele ya jamii sababu moyo wake unamsuta. Chadema ndiyo chama pekee Cha kweli Cha upinzani tanzania. ndiyo maana wanawindwa na kuuwawa Mara wanapigwa risasi. Na hii toka zamani. Wameuwawa kina ALFONCE MAWAZO. kina daudi mwangosi mbele ya uso wa Dr slaa iringa. Chadema washapigwa bomu ARUSHA kwenye mkutano wao na askari kwa maagizo wakafa watu. Wameuwawa kina Ben saanane. Mzee ally kibao. Sasa kila mwenye uelewa anajua wapinzani ni kina nani. Na ndiyo maana kila chama ambacho ni tawi la ccm hawaguswi na uzuri wananchi hawana mda nao Tena. Fikilia walioenda CHAUMA hakuna lolote kwa wananchi zaidi ya kutajwa kwenye mitandao na hao ccm tu. Raia wa kawaida washajua mbivu na mbichi wanawacheka tu na kusema wanaona watanzania ni wajinga eeeeh hahahahahahahaaa.ACT na CHAUMA ni kama chatu, kazi yao kumeza wengine kwa manufaa ya ccm.
CHAUMA watapata taabu sana maana lengo lao limejulikana kabla hawajaanza
Sahihi kabisaChadema ya saizi haina ndimi mbili.
Waliokimbia walilijua hilo na ndio maana wametimkia huko wanakoona watapata fursa ya kugombea.
Nani kasusia uchaguzi.. Mmeshaeleweshwa sana nini maana ya NO REFORMS NO ELECTION.. lakini nadhani uelewa wa baadhi yenu bado ni finyu sanaSi mlishasusia uchaguzi mkuu, mnataka huruma ya nini? Tuliwaonya kuhusu kumfurusha Mbowe.
Katika makosa ambayo Maalim(RIP) alifanya ni kuhamia ACT. Au pengine siyo makosa bali alijua anachokifanya kwa sababu hata kuingia kwenye serikali ya kupewa slesi ya mkate haijakaa sawa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu hapo hapo ukajiita ni mpinzani wa hiyo serikali.
Kufa hakifi,makapi yote yatoke wabaki CHADEMA pure Haiwezekani CHADEMA kiwe kinatumika kuhalalisha ujingaujinga unaoendelea nchini kwenye chaguzi zisizo huru.Lissu na wengine wakazie hapohapo.Hatushiriki huo uchaguzi, ni bora chama kife kuliko kushiriki huo upuuzi wenu. ACT sijui chaumma ni nothing kwa chadema, tunapambana na dola maana ccm as a political party tumewazidi ushawishi zamani sana.
So acheni ngonjera, chadema is here to stay. Its more than a party or cult, it's lifestyle.